Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Persecuted and expelled

2 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Persecuted and expelled

  1. Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake wenye kumcha Mungu, wenye vyeo pamoja na watu maarufu katika mji, wakachochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na kuwafukuza kutoka eneo hilo.

  2. Hivyo Paulo na Barnaba wakakungʼuta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.