Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Is persecuted by certain Jews from Antioch and Iconium, and is stoned

3 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Is persecuted by certain Jews from Antioch and Iconium, and is stoned

  1. Ndipo wakaja baadhi ya Wayahudi kutoka Antiokia na Ikonio wakawashawishi wale watu, wakampiga Paulo kwa mawe, wakamburuta hadi nje ya mji, wakidhani amekufa.

  2. Mara tatu nilichapwa kwa fimbo, mara moja nilipigwa kwa mawe, mara tatu nimevunjikiwa na meli, nimekaa kilindini usiku kucha na mchana kutwa,

  3. mateso na taabu, yaani mambo yote yaliyonipata huko Antiokia, Ikonio na Listra, mateso yote niliyostahimili, lakini Bwana aliniokoa katika hayo yote.