Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Has »a thorn in the flesh«

5 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Has »a thorn in the flesh«

  1. Ili kunizuia nisijivune kwa sababu ya ufunuo huu mkuu, nilipewa mwiba katika mwili wangu, mjumbe wa Shetani, ili anitese.

  2. Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana mara tatu aniondolee mwiba huu.

  3. Lakini aliniambia, “Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uweza wangu hukamilika katika udhaifu.” Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.

  4. Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.

  5. Ingawa hali yangu iliwatia majaribuni, hamkunidharau wala kunidhihaki, bali mlinikaribisha kama malaika wa Mungu, kama vile Kristo Yesu.