Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Contends with the Judaizing Christians against circumcision

2 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Contends with the Judaizing Christians against circumcision

  1. Baadhi ya watu wakashuka Antiokia kutoka Uyahudi, nao wakawa wanawafundisha wandugu: “Msipotahiriwa kufuatana na desturi aliyofundisha Mose, hamwezi kuokoka.”

  2. Baada ya Paulo na Barnaba kutokubaliana nao kukawa na mabishano makali, Paulo na Barnaba na baadhi ya wengine miongoni mwao wakachaguliwa kwenda Yerusalemu ili kujadiliana jambo hili na mitume na wazee.