Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Educated at Jerusalem in the school of Gamaliel

2 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Educated at Jerusalem in the school of Gamaliel

  1. “Mimi ni Myahudi, niliyezaliwa Tarso huko Kilikia, lakini nimelelewa katika mji huu. Miguuni mwa Gamalieli, nilifundishwa kikamilifu katika sheria ya baba zetu, na nikawa mwenye juhudi kwa ajili ya Mungu kama kila mmoja wenu alivyo leo.

  2. “Wayahudi wote wanajua jinsi nilivyoishi tangu nilipokuwa mtoto, kuanzia mwanzo wa maisha yangu katika nchi yangu na pia huko Yerusalemu.