Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Levites

186 mistari · 17 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Walawi: wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 74

  2. Waimbaji: wazao wa Asafu 128

  3. Mabawabu wa lango la Hekalu: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 139

  4. Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,

  5. wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,

  6. wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,

  7. wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,

  8. wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,

  9. wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,

  10. wazao wa Uza, Pasea, Besai,

  11. wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,

  12. wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,

  13. wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,

  14. wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,

  15. wazao wa Nesia na Hatifa.

  16. Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,

  17. wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli,

  18. wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami.

  19. Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392

  20. Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

  21. wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 652

  22. Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).

  23. Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.

  24. Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.

  25. Basi niliwaita Eliezeri, Arieli, Shemaya, Elnathani, Yaribu, Elnathani, Nathani, Zekaria na Meshulamu waliokuwa viongozi na Yoyaribu na Elnathani waliokuwa wasomi,