Casiphia
35.1300, 36.7400 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Casiphia
nikawatuma kwa Ido kiongozi huko Kasifia. Niliwaambia watakayomwambia Ido na ndugu zake, watumishi wa Hekalu huko Kasifia, ili waweze kutuletea wahudumu kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.