Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Levites

186 mistari · 17 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Solomoni 392

  2. Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

  3. wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 642

  4. Na kutoka miongoni mwa makuhani: wazao wa Hobaya, Hakosi na Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).

  5. Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani, kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.

  6. Kwa hiyo, mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.

  7. Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;

  8. tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245.

  9. Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245

  10. ngamia 435 na punda 6,720.

  11. Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000 za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani.

  12. Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu, na mane 2,200 za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.

  13. Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.

  14. Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,

  15. Walawi: Yeshua mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli,

  16. na wenzao: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani,

  17. Mika, Rehobu, Hashabia,

  18. Zakuri, Sherebia, Shebania,

  19. Hodia, Bani na Beninu.

  20. Viongozi wa watu: Paroshi, Pahath-Moabu, Elamu, Zatu, Bani,

  21. Buni, Azgadi, Bebai,

  22. Adoniya, Bigwai, Adini,

  23. Ateri, Hezekia, Azuri,

  24. Hodia, Hashumu, Besai,

  25. Harifu, Anathothi, Nebai,