Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wine: Symbolic of the blood of Jesus

8 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Symbolic of the blood of Jesus

  1. Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.

  2. Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo.

  3. Akawaambia, “Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi.

  4. Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.

  5. Hivyo Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu.

  6. Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho.

  7. Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli na damu yangu ni kinywaji cha kweli.

  8. Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.