Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wine: Given in abundance to the Jews when obedient

4 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Given in abundance to the Jews when obedient

  1. nayo nchi itajibu kwa nafaka, divai mpya na mafuta, navyo vitajibu kwa Yezreeli.

  2. Bwana atawajibu: “Ninawapelekea nafaka, mvinyo mpya na mafuta, vya kuwatosha ninyi hadi mridhike kabisa; kamwe sitawafanya tena kitu cha kudharauliwa na mataifa.

  3. Sakafu za kupuria zitajaa nafaka, mapipa yatafurika mvinyo mpya na mafuta.

  4. Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! Nafaka itawastawisha vijana wanaume, nayo divai mpya vijana wanawake.