Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wine: Made by Jesus at the marriage feast in Cana

2 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Made by Jesus at the marriage feast in Cana

  1. Yule mkuu wa meza akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yamebadilika kuwa divai. Hakujua divai hiyo ilikotoka ingawa wale watumishi waliochota yale maji wao walifahamu. Basi akamwita bwana arusi kando

  2. akamwambia, “Watu wote hutoa kwanza divai nzuri, kisha huleta ile divai hafifu wageni wakisha kunywa vya kutosha, lakini wewe umeiweka ile nzuri kupita zote mpaka sasa.”