Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wine: Of the blessing of the gospel

4 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Of the blessing of the gospel

  1. Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; pia ameandaa meza yake.

  2. Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya.

  3. Juu ya mlima huu Bwana Mwenye Nguvu Zote ataandaa karamu ya vinono kwa mataifa yote, karamu ya mvinyo wa zamani, nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana.

  4. “Njooni, ninyi nyote wenye kiu, njooni kwenye maji; nanyi ambao hamna fedha, njooni, nunueni na mle! Njooni, nunueni divai na maziwa bila fedha na bila gharama.