Mistari ya Biblia kuhusu Wine: The love of Christ to be preferred to
Mistari kuhusu The love of Christ to be preferred to
Unibusu kwa busu la kinywa chako, kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai.
Nichukue twende nawe, na tufanye haraka! Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake. Marafiki Tunakushangilia na kukufurahia, tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai. Mpendwa Tazama jinsi ilivyo bora wakupende!