Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wine: The Rechabites never drank

2 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu The Rechabites never drank

  1. Kisha nikaweka mabakuli yaliyojaa divai na baadhi ya vikombe mbele ya watu wa jamaa ya Warekabi na kuwaambia, “Kunyweni divai.”

  2. Lakini wao wakajibu, “Sisi hatunywi divai, kwa sababu baba yetu Yonadabu mwana wa Rekabu, alitupa agizo hili: ‘Ninyi wala wazao wenu kamwe msinywe divai.