Mistari ya Biblia kuhusu Servants: When foreigners to be circumcised
Mistari kuhusu When foreigners to be circumcised
Awe amezaliwa nyumbani mwako au amenunuliwa kwa fedha yako, ni lazima watahiriwe. Agano langu katika mwili wako litakuwa ni Agano la milele.
Kila mwanaume nyumbani mwa Abrahamu, pamoja na wote waliozaliwa nyumbani mwake au aliyenunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, alitahiriwa pamoja naye.
Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri,