Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: Servants of Centurion

1 mstari · 147 vipengele

Mistari kuhusu Servants of Centurion

  1. Kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtu niliyewekwa chini ya mamlaka, nikiwa na askari chini yangu. Nikimwambia huyu, ‘Nenda,’ yeye huenda; na mwingine nikimwambia, ‘Njoo,’ yeye huja. Nikimwambia mtumishi wangu, ‘Fanya hivi,’ yeye hufanya.”