Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: Hebrew slaves serving strangers to be treated as

2 mistari · 147 vipengele

Mistari kuhusu Hebrew slaves serving strangers to be treated as

  1. “ ‘Ikiwa mgeni au mkazi wa muda katikati yako atakuwa tajiri, na mmoja wa wazawa wa nchi yako akawa maskini, naye akajiuza kwa yule mgeni anayeishi katikati yako, au kwa mmoja wa jamaa wa koo za wageni,

  2. Atatendewa kama mtu wa kuajiriwa mwaka hadi mwaka; lazima uone kwamba yule aliyemnunua hamtawali kwa ukatili.