Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: Seizing and stealing of men for, condemned and punished by the law

3 mistari · 147 vipengele

Mistari kuhusu Seizing and stealing of men for, condemned and punished by the law

  1. “Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.

  2. Kama mtu akikamatwa akiiba yeyote miongoni mwa ndugu zake wa Waisraeli na kumtenda kama mtumwa au akimuuza, mwizi huyo ni lazima auawe. Nawe utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu.

  3. kwa wazinzi na wahanithi, kwa wale wauzao watu, na kwa waongo na waapao kwa uongo, na kwa chochote kingine kilicho kinyume na mafundisho ya kweli,