Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: Deserve the confidence of their masters

4 mistari · 147 vipengele

Mistari kuhusu Deserve the confidence of their masters

  1. Akamwambia mtumishi wake mkuu wa vitu vyote katika nyumba yake, yule aliyekuwa msimamizi wa vitu vyote alivyokuwa navyo, “Weka mkono wako chini ya paja langu,

  2. bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.”

  3. Ndipo huyo mtumishi akachukua ngamia kumi miongoni mwa ngamia za bwana wake, akaondoka, akiwa amechukua aina zote za vitu vizuri kutoka kwa bwana wake. Akaelekea Aramu-Naharaimu na kushika njia kwenda mji wa Nahori.

  4. Yosefu alipata kibali machoni pa Potifa, akamfanya mhudumu wake. Potifa akamweka kuwa msimamizi wa nyumba yake, naye akamkabidhi kuwa mwangalizi wa kila kitu alichokuwa nacho.