Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: To be profitable to them

4 mistari · 147 vipengele

Mistari kuhusu To be profitable to them

  1. “Hata hivyo alirudi akiwa amekwisha kupokea mamlaka ya ufalme, akawaita wale watumishi wake aliokuwa amewaachia fedha, ili afahamu ni faida kiasi gani kila mmoja wao aliyopata kwa kufanya biashara.

  2. “Wa kwanza akaja na kusema, ‘Bwana, kutokana na fedha uliyoniachia, nimepata faida mara kumi zaidi.’

  3. “Wa pili naye akaja. Akasema, ‘Bwana, fedha yako imeleta faida mara tano zaidi.’

  4. Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia.