Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: The subjects of a prince or king so called

2 mistari · 147 vipengele

Mistari kuhusu The subjects of a prince or king so called

  1. Wale maafisa wa Farao ambao waliliogopa neno la Bwana wakafanya haraka kuwaleta watumwa wao na mifugo yao ndani.

  2. Maafisa hawa wako wote watanijia, wakisujudu mbele yangu, wakisema, ‘Ondoka, wewe pamoja na watu wako wote wanaokufuata!’ Baada ya haya nitaondoka.” Kisha Mose, huku akiwa amewaka hasira, akamwacha Farao.