Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Servants: Captive maid

3 mistari · 147 vipengele

Mistari kuhusu Captive maid

  1. Siku hizo vikosi kutoka Aramu vilikuwa vimekwenda na vikawa vimemteka msichana kutoka Israeli, naye akamtumikia mkewe Naamani.

  2. Akamwambia bibi yake, “Kama bwana wangu angelimwona nabii aliyeko Samaria! Angemponya ukoma wake.”

  3. Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli.