Mistari ya Biblia kuhusu Praise: With the lips
Mistari kuhusu With the lips
Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakuadhimisha.
Midomo yangu na ibubujike sifa, kwa kuwa unanifundisha maagizo yako.