Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: Accompanied with musical instruments

4 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu Accompanied with musical instruments

  1. Waliohudumu pamoja nao walikuwa Hemani, Yeduthuni na wale wote waliochaguliwa na kutajwa kwa jina kumpa Bwana shukrani, “Kwa maana fadhili zake zadumu milele.”

  2. Hemani na Yeduthuni walikuwa na wajibu wa kupiga tarumbeta, matoazi na kutumia vyombo vingine kwa ajili ya nyimbo za sifa kwa Mungu. Wana wa Yeduthuni waliwekwa langoni.

  3. Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze,

  4. msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana.