Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: The chorus when Solomon brought the ark into the temple

1 mstari · 106 vipengele

Mistari kuhusu The chorus when Solomon brought the ark into the temple

  1. Wapiga tarumbeta na waimbaji wakaungana katika sauti linganifu, ikawa kama vile ni sauti moja, wakimsifu na kumshukuru Bwana, nao alipoinua sauti zao pamoja na tarumbeta na matoazi na vyombo vingine vya uimbaji, wakamsifu Bwana wakisema: “Yeye ni mwema; upendo wake unadumu milele.” Ndipo Hekalu la Bwana likajazwa na wingu,