Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: His goodness

4 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu His goodness

  1. Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu,

  2. Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

  3. Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema. Fadhili zake zadumu milele.

  4. sauti za shangwe na furaha, sauti za bibi na bwana arusi, na sauti za wale waletao sadaka za shukrani katika nyumba ya Bwana, wakisema, “ ‘ “Mshukuruni Bwana Mwenye Nguvu Zote, kwa maana Bwana ni mwema; upendo wake wadumu milele.” Kwa kuwa nitairudishia nchi baraka kama zilivyokuwa hapo awali,’ asema Bwana.