Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: With thankfulness

3 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu With thankfulness

  1. Akawaweka pia baadhi ya Walawi ili wahudumu mbele ya Sanduku la Bwana kufanya maombi, kumshukuru na kumsifu Bwana, Mungu wa Israeli:

  2. Viongozi wa Walawi walikuwa: Hashabia, Sherebia, Yeshua mwana wa Kadmieli na wenzao, waliosimama mkabala nao kusifu na kushukuru, sehemu moja ikipokezana na nyingine kama ilivyoagizwa na Daudi mtu wa Mungu.

  3. Mwimbieni Bwana kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.