Mistari ya Biblia kuhusu Praise: With the mouth
Mistari kuhusu With the mouth
Ee Bwana, fungua midomo yangu, na kinywa changu kitatangaza sifa zako.
Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe.