Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: Deliverance

4 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu Deliverance

  1. Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Nilimngoja Bwana kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu.

  2. Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.

  3. Akaweka wimbo mpya kinywani mwangu, wimbo wa sifa kwa Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa na kuweka tumaini lao kwa Bwana.

  4. Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao.