Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: In psalms and hymns &c

3 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu In psalms and hymns &c

  1. Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu.

  2. Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu,

  3. Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.