Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: Is a part of public worship

5 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu Is a part of public worship

  1. ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako.

  2. Ingieni malangoni mwake kwa shukrani na katika nyua zake kwa kusifu, mshukuruni yeye na kulisifu jina lake.

  3. Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru Bwana.

  4. Hili ni lango la Bwana ambalo wenye haki wanaweza kuliingia.

  5. Yeye husema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”