Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Praise: The hope of glory

2 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu The hope of glory

  1. Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa rehema zake kuu ametuzaa sisi mara ya pili katika tumaini lenye uzima kupitia kwa kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu,

  2. ili tuupate urithi usioharibika, usio na uchafu, ule usionyauka: uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu,