Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Trust in

6 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Trust in

  1. Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.

  2. Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Yatosha kwa siku masumbufu yake.

  3. Msichukue dhahabu, wala fedha, wala shaba kwenye vifuko vyenu.

  4. Je, shomoro wawili hawauzwi kwa senti moja tu? Lakini hakuna hata mmoja wao atakayeanguka chini pasipo Baba yenu kujua.

  5. Hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa.

  6. Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.