Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Cannot be defeated

3 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Cannot be defeated

  1. Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, “Nitaingia vitani nikiwa nimejibadilisha, lakini wewe uvae majoho yako ya kifalme.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli akajibadilisha na kwenda vitani.

  2. Lakini mtu fulani akavuta upinde pasipo lengo na kumpiga mfalme wa Israeli katikati ya kiungio cha mavazi yake ya chuma. Mfalme akamwambia mwendesha gari lake, “Geuza gari na uniondoe mimi katika mapigano, nimejeruhiwa.”

  3. Hakuna hekima, wala akili, wala mpango unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana.