Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Determining the period of human life

3 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Determining the period of human life

  1. Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, uniokoe mikononi mwa adui zangu na wale wanifuatiao.

  2. Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; muda wangu wa kuishi ni kama hauna thamani kwako. Maisha ya kila mwanadamu ni kama pumzi.

  3. Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.