Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Sometimes dark and mysterious

4 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Sometimes dark and mysterious

  1. Haki yako ni kama milima mikubwa, hukumu zako ni kama kilindi kikuu. Ee Bwana, wewe huwahifadhi mwanadamu na mnyama.

  2. Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.

  3. Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana.

  4. Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri wa hekima na maarifa ya Mungu! Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, na ambavyo njia zake zisivyotafutikana!