Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Bringing His words to pass

4 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Bringing His words to pass

  1. Kwa maana Bwana alikuwa amewaambia hao Waisraeli hakika wangekufa huko jangwani, wala hakuna mmoja wao aliyeachwa, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.

  2. Hakuna hata mojawapo ya ahadi nzuri ya Bwana kwa nyumba ya Israeli ambayo haikutimia; kila moja ilitimia.

  3. “Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.

  4. Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.”