Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Providing for his creatures

5 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Providing for his creatures

  1. Hawa wote wanakutazamia wewe, uwape chakula chao kwa wakati wake.

  2. Wakati unapowapa, wanakikusanya, unapofumbua mkono wako, wao wanashibishwa mema.

  3. Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele.

  4. Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia.

  5. Waangalieni ndege wa angani; wao hawapandi wala hawavuni au kuweka ghalani, lakini Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, ninyi si wa thamani zaidi kuliko hao ndege?