Mistari ya Biblia kuhusu The Providence of God: Is ever watchful
Mistari kuhusu Is ever watchful
hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi.
Mimi, Bwana, ninalitunza, nalinyweshea maji mfululizo. Ninalichunga usiku na mchana ili mtu yeyote asije akalidhuru.