Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sin: The abominable thing that God hates

3 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu The abominable thing that God hates

  1. Bwana huchukia sana njia ya waovu, bali huwapenda wale wafuatao haki.

  2. Tena na tena, niliwatuma watumishi wangu manabii ambao walisema, ‘Msifanye jambo hili la kuchukiza ambalo nalichukia!’

  3. “Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Mimi nimekusudia kuleta maafa juu yenu, na kuiangamiza Yuda yote.