Mistari ya Biblia kuhusu Sin: Delight in those who commit
Mistari kuhusu Delight in those who commit
Hujivunia tamaa za moyo wake; humbariki mlafi na kumtukana Bwana.
“Wanamfurahisha sana mfalme kwa maovu yao, wakuu wao kwa uongo wao.
Ingawa wanafahamu sheria ya haki ya Mungu kwamba watu wanaofanya mambo kama hayo wanastahili mauti, si kwamba wanaendelea kutenda hayo tu, bali pia wanakubaliana na wale wanaoyatenda.