Mistari ya Biblia kuhusu Sin: Prayer hindered by
Mistari kuhusu Prayer hindered by
Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza;
Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, ili asisikie.