Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sin: Aggravated by neglecting advantages

2 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu Aggravated by neglecting advantages

  1. “Yule mtumishi anayefahamu vyema mapenzi ya bwana wake na asijiandae wala kufanya kama apendavyo bwana wake, atapigwa kwa mapigo mengi.

  2. Kama sikuja na kusema nao wasingalikuwa na hatia ya dhambi. Lakini sasa hawana udhuru kwa ajili ya dhambi zao.