Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sin: Guilty of, in everything they do

2 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu Guilty of, in everything they do

  1. Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi!

  2. “Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu enyi watu mmekumbusha uovu wenu kwa kuasi waziwazi, mkidhihirisha dhambi zenu katika yale yote mfanyayo, kwa kuwa mmefanya jambo hili, mtachukuliwa mateka.