Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sin: Led by despair to continue in

2 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu Led by despair to continue in

  1. Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu, na koo lako liwe limekauka. Lakini ulisema, ‘Haina maana! Ninaipenda miungu ya kigeni, nami lazima niifuatie.’

  2. Lakini wao watajibu, ‘Hakuna faida. Tutaendelea na mipango yetu wenyewe, kila mmoja wetu atafuata ukaidi wa moyo wake mbaya.’ ”