Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Persons selected as spies

14 mistari · 177 vipengele

Tafuta "Journey of Israel Through The Desert"

Mistari kuhusu Persons selected as spies

  1. Hivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli.

  2. Haya ndiyo majina yao: kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri;

  3. kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;

  4. kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune;

  5. kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;

  6. kutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni;

  7. kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu;

  8. kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi,

  9. kutoka kabila la Manase (kabila la Yosefu), Gadi mwana wa Susi;

  10. kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemali;

  11. kutoka kabila la Asheri, Sethuri mwana wa Mikaeli;

  12. kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Wofsi;

  13. kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki.

  14. Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.)