Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Tribe of Levi taken instead of the first-born

3 mistari · 177 vipengele

Mistari kuhusu Tribe of Levi taken instead of the first-born

  1. Bwana akamwambia Mose,

  2. “Nimewatwaa Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli badala ya mzaliwa wa kwanza wa kiume wa kila mwanamke wa Mwisraeli. Walawi ni wangu,

  3. kwa kuwa wazaliwa wote wa kwanza ni wangu. Nilipowaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, nilimtenga kila mzaliwa wa kwanza katika Israeli awe wangu, akiwa mwanadamu au mnyama. Watakuwa wangu. Mimi ndimi Bwana.”