Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Israel seduced to idolatry, &c by advice of Balaam

3 mistari · 177 vipengele

Mistari kuhusu Israel seduced to idolatry, &c by advice of Balaam

  1. Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu,

  2. ambao waliwaalika kushiriki katika kutoa kafara kwa miungu yao. Watu wakala na kusujudu mbele ya miungu hii.

  3. Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao.