Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Aaron and his sons selected for priesthood

3 mistari · 177 vipengele

Mistari kuhusu Aaron and his sons selected for priesthood

  1. Hii ni hesabu ya jamaa ya Aroni na Mose kwa wakati ambao Bwana alizungumza na Mose katika Mlima Sinai.

  2. Majina ya wana wa Aroni yalikuwa: Nadabu mzaliwa wa kwanza na Abihu, Eleazari na Ithamari.

  3. Hayo yalikuwa majina ya wana wa Aroni, makuhani wapakwa mafuta, waliokuwa wamesimikwa kuhudumu kama makuhani.