Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: All formerly numbered over twenty years old, except Caleb and Joshua, dead

3 mistari · 177 vipengele

Mistari kuhusu All formerly numbered over twenty years old, except Caleb and Joshua, dead

  1. Hawa ndio walioorodheshwa na Mose na kuhani Eleazari wakati waliwahesabu Waisraeli kwenye nchi tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko.

  2. Hakuna hata mmoja wao aliyekuwa miongoni mwa wale waliohesabiwa na Mose na kuhani Aroni wakati waliwahesabu Waisraeli katika Jangwa la Sinai.

  3. Kwa maana Bwana alikuwa amewaambia hao Waisraeli hakika wangekufa huko jangwani, wala hakuna mmoja wao aliyeachwa, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.